Wasanii Dina Mapunda aka Dina Brown na Mon G


Ni cheche za moto mkali !

Tunapoizungumzia Tanzania na utajiri wake wa wasanii na wanamichezo wenye vipaji, kwa hakika kabisa majina ya wasanii wachanga ndio chachu zinazo umua burudani moto moto katika jamii...ya watanzania.

Majina ya wasanii wachanga yapo mengi,wasanii ambao kwa namna moja au nyingine wanahitaji kupigwa jeki na sisi watanzania,ili waweze kufikia kilele cha mafanikio katika sanaa,ambazo pia ndio ajira yao.

Juzi kati katika kupekua pekua majina ya wasanii Mon G na mwanadada Dina Mapunda a.k.a Dina Brown ni wapya na ni moto mkali...tena moto wa kuotea mbali, Dina Brown na Mon G wanasikika bofya hapa