Monday, May 13, 2013

KWA WATANZANIA WENZANGU



Watanzania tunapenda kuwa na roho za kudiscourage watu (kuvunja moyo). Unakuta mtu anawazo flani akitaka kulifanyia kazi watu wanamuuliza “kwani hiyo idea yako inatofauti gani na idea ya mtu flani”, “what is your WOW factor in this idea”?. Wengine wanafikia mpaka kusema mtu amecopy idea ya mtu mwingine. Watu tunapenda kusema “aaah bora uache wakina flani wafanye hiyo kazi / idea we fanya kingine”. Hii ni roho ya umaskini. Watu tunapenda sana kuwe na monopoly ili mtu flani pekee ajulikane kama yeye ndiye mtu pekee wakufanya jambo flani. BASI NDIO MAANA TUNAZIDI KUWA NA TANESCO NA HAKUNA KAMPUNI NYINGINE ITAJITOKEZA KUTUPA UMEME COZ TANESCO TU NDIO WANAJUA KULETA UMEME (just an example). I mean seriously, watu tunakaa kuvunja spirit na ndoto za vijana kwa kuwaambia “HAMUWEZI”, “ACHENI KINA FLANI WAFANYE”, etc, hayo maneno sio mazuri, NA YASHINDWE KWA JINA LA YESU. Mtu akitaka kutafuta njia ya kutoka kimaisha bado mnatoa discouragement, halafu tunazidi kusema VIJANA HAWATAKI KUJIAJIRI. How can we do that if we are made to believe that WE CAN’T DO IT? This is sick!!!!



I know some friends with great ideas, I came to realize tuko watu wengi with similar ideas but kila idea ina different factor that makes it unique. WE ARE NOT INVENTING SOMETHING NEW HERE..we are improving what is already there in a unique way. INGAWA KUNA MAGENIUS WENYE INNOVATIVE IDEAS. Point nayotaka kusema ni hii…give people a chance. Ideas can be a million but they are all unique.



Kama tunataka kuchallenge basi mtu wa kwanza kumchallenge awe Mungu, ametuumba karibu wote na similar features..vidole vitano, macho mawili, mikono miwili, miguu miwili, pua moja, mdomo mmoja etc, wote tunafanana BUT WE ARE ALL UNIQUE IN OUR OWN WAYS.



Mtanzania akitaka kuja na idea yake mnasema sio unique…huko mamtoni kuna vitu vinafanana vingi tu, but kila kimoja kipo unique, mifano hai:

Tv Talkshows;

-          The oprah winfrey show

-          The tyra banks show

-          Chelsea lately show 

The list is endless, each show is unique in its own way. 


Reality shows:

-          Keeping up with the kardashians

-          Jersey shore

-          Real housewives

-          Mrs. Eastwood and company

-          Kimora: house of fab

The list is endless.



TUSIENDE MBALI, MAGARI..ALIYEINVENT MAGARI ANAJIJUA MWENYEWE, WENGINE WOTE WAMEYAKUTA MAGARI NA SASA WANAFANYA IMPROVEMENTS TU!!!  Kila mtu anapenda gari ya aina yake.



POINT NI HII…VITU VIPO UNIQUE…WAPE WATU NAFASI YA KUCHAGUE WHAT TO WATCH ON TV, WHAT TO LISTEN TO, WHAT CAR TO DRIVE, WHAT SHOE TO WEAR, ETC. tunahitaji kuwa na options. Mwenye kibaya basi kitakufa tu, ila mpeni nafasi ajaribu ili aone kuwa anahitaji kufanya kingine coz hicho sio Mungu alichompangia kukifanya.

Mkitaka mtu atengeneze nguo eti kisa ni invention yake THEN LEMME WARN U, THAT WILL NEVER HAPPEN. The first human being to discover covering oneself was ADAM or EVE or both of them at the same time. The rest of them just made improvements. INSTEAD OF SITTING THERE AND WINING ABOUT WHO IS COPYING WHO….APPRECIATE THE TALENT WE HAVE HERE IN TANZANIA.

Let’s appreciate our musicians, our directors, our artists, our designer, our tv and radio presenters, etc. (I REPEAT, IT’S OK TO CRITICIZE THEM ILI WAZIDI KUBORESHA VIPAJI VYAO, ILA SIO KUWA-IGNORE NA KUACHA KUNUNUA KAZI ZAO)

TANZANIA we need to wake up and come up with ways to make things sufficient for ourselves.  Our movie and music industry, we need to buy albums za artists wetu (download album ya Justin Beiber lakini nunua album ya Ommy Dimpoz), we need to buy bongo movies (YES I SAID IT..HATA ME NTAANZA KUNUNUA) THE MORE WE BUY, THE MORE WE CRITIC, THE BETTER THEY’LL BECOME, sio unacritic halafu unagive up unarudi kununua za Nigeria, America, India na China. Imagine kama angekua mwanao, kama hawezi kusoma utamwacha then umchukue wa mwenzio umsomeshe? Komaa na mwanao hata kwa mijeredi mpaka ajifunze kusoma (INGORE THE MIJEREDI COMMENT, IT’S JUST A SAYING…DON’T REALLY DO IT). What am trying to say is that LETS SUPPORT VYETU..WATU WETU, HELA IZIDI KURUDI NCHINI. STOP BELIEVING IN “MADE IN CHINA, MADE IN INDIA,” BS make your own. Tuache kuwa watumwa wa vitu vya nje…ndio viko na quality nzuri but HEY,  si vyetu. Kwa vyakwetu, we need to work things out, make them better and be proud of them.



THIS MSG IS NOT MEANT FOR ANYONE IN PARTICULAR. IT’S FOR ALL OF US, ME INCLUDED. ( me bingwa wa kusema vya bongo KIMEO KISHA NANUNUA vya nje, bingwa wa kusema bongo movies hivi vile halafu nadownload movie za hollywood. Ndio tupo addicted na vitu vya nje but it’s ok to try our own stuff and appreciate them.


TZ oyee. (ila politicians bado wanahitaji more criticism ili nchi ikae poa, especially kikazi, miundo mbinu na kipesa).



God bless TZ.

Originally written on 10th May 2013

No comments:

Post a Comment