Wednesday, July 31, 2013

Angels in real life

We sometimes pray to see Angels in our lives, but Angels are in our everyday life. I see them everyday, at home, in my neighborhood, at school, in the streets.  I'm saying this coz even when the most SHITY things happen to me, YET there's a something WONDERFULthat happens and cheers me up. I'm learning to appreciate every little thing that happens in my life, the things that I don't deserve and yet GOD JUST GIVES TO ME. 

I saw an Angel when;
- A kid washed my windshield at moroko and i didn't have cash to pay him and he said "hamna tatizo dada"
-My friend Sue for giving me a lunch treat
-My neighbors and shopkeeper for helping me out with my ride pull
-My not so close neighbor for giving me a ride
-My friend Meddy for always being there for my family
-My friend Jacky and Carl for the Forum, free food and a donee
-My sis Nou York for constantly encouraging me (her long distant call today really helped)

the list is endless, but what i'm trying to say is that AM THANKFUL for the little miracles in my life coz God has sent Angels to bless me.."JESUS GOT MY BACK" #JGMB

Sunday, July 28, 2013

Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) inaipeperusha vema Tanzania


Umoja wa Watanzania ujerumani(UTU) kwa kasi kubwa inaiwakilisha vema Tanzania huko Ughaibuni,kwa kutumia nafasi zote wanazopewa nchi Ujerumani, ni juzi kati tu Umoja huo ulishiriki katika maonyesho ya "Brüderschaft der völker " mjini Aschaffenburg, ambapo wageni wengi walivutiwa sana na shughuli za Umoja huo za kuitangaza Tanzania, Umoja wa watanzania ujerumani (UTU) unatilia mkazo sana katika kuwashawishi wadau wa kimataifa wawekeze katika udumua za jamii kama vile Elimu,Afya n.k. Umoja huo umepokea mialiko ya kushiriki maonyesho mengine yakiwemo makubwa kama International African Festival Tubingen 2013 yatakayo anza 8 hadi 11.08.2013 usikose kuwasiliana nao at kamati.utu@googlemail.com

Tuesday, July 23, 2013

Watanzania Wanasumbuliwa Sana na balozi za EU hapa nchini! Juu ya upatikanaji wa VISA za safari


Imebainika kuwa balozi za  nchi za ulaya zilizopo hapa nchini, zikiwemo balozi za Ujerumani,Ubelgiji,Netherland na nyinginezo, zimekuwa zikiwasumbua sana raia wa Tanzania wanaohitaji Visa za kusafaria kwenda katika nchi za ulaya. Pamoja na watanzania wanatimiza masharti yote yanayohitajika katika kuomba Visa lakini balozi hizo zimekuwa bado zikiwawekea vikwazo visivyo katika sheria za maombi ya Visa.mfano mtanzania anapo omba Visa ubalozini atapeleka barua ya mwaliko na bima,pamoja na benk statment, barua ya kazini,pay insleep za mishaara. Heti bado afisa balozi anadai barua ingine itoke kwa mwenyeji kuonyesha milijuana vipi? na mgeni mtanzania! Kwa kweli hakuna uhusiano mzuri katika ya raia na maofisa wa visa wa balozi za EU nchini Tanzania. Watanzania wanapoomba Visa wanasumbuliwa sana sana za ulaya hapa nchini. Serikali inaweza kuwa na uhusiano mzuri na balozi hizo lakini raia wa Tanzania hawathaminiwi kabisa na balozi za EU hapa tanzania

SHOSTEEZ new track - NIFIKIRIE

Thursday, July 18, 2013

Happy Birthday Nelson Mandela

Nelson Rolihlahla Mandela alizaliwa tarehe 18 Julai, mwaka 1918. Ni rais wa kwanza aliyechaguliwa kidemokrasia nchini Afrika Kusini. Alikuwa mwanasheria na mwanachama wa ANC aliyepinga siasa ya ubaguzi wa rangi Apartheid katika Afrika Kusini. Mandela alitumikia kifungo cha maisha kwa miaka 27 kutokana na harakati zake za kuupinga ubaguzi wa rangi. Alifungwa katika kisiwa cha Robben. Baada ya kuachiliwa huru mwaka 1990 alianzisha sera ya maridhiano. Mwaka wa 1993, pamoja na Frederik Willem de Klerk alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.
Wednesday, July 10, 2013

Mwanamuziki Jhikoma na Afrikabisa BandAliitingisha katika Maonyesho ya ZIFF ! ZANZIBAR


Ilikuwa Tarehe 7 Julai 2013 (SABASABA) Mwanamuziki Jhikoman alipewa heshima ya pekee
kufungua Tamasha la Kimataifa ZIFF! Zanzibar,
Mwanamuziki Jhikoman na Afrikabisa band yenye maskani kule Bagamoyo almaarufu mjini B.O,
mwishoni mwa mwezi huu wa Julia watafanya maonyesho mjini Iringa,
Kwa hiyo wadau wa Iringa kaeni mkao kula.
unaweza kupata mengi zaidi kuhusu Jhikoman & Afrikabisa Band at 
www.jhikoman.com au http://www.jhikoman.com

Word

A friend sent these pics to me. They came at a very good time. thank u Daniel Laizer.