MARIANNA KOLLEXION on May 16, 2013 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps @ makumbusho free entry contact ANA on the numbers below Hello my facebook family...today, tomorrow and on saturday, ill be at National Museum (makumbusho ya taifa) posta opposite na ifm. Nipo kwenye maonyesho ya vitu vyangu. Ukipata muda si mbaya kupita na kunipa support. Kumbuka kuja sio lazima ununue kuona ni zaidi ya kununua. Maana kuna watakaojiskia vby may be hawatonunua but they wish to come. Njoo upate chance kuona wajasiliamali wa Tanzania wanafanya nini. KARIBUNI SANA Comments
Comments
Post a Comment