Thursday, August 24, 2017

Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi 9.09.2017

Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi 9.09.2017
FFU-Ughaibuni Kuzidi kuwatia kiwewe washabiki Ulaya !

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU-Ughaibuni yenye maskani nchini ujerumani,inatarajiwa kulitingisha jiji la Bremen siku ya jumamosi 9.09.2017 katika ukumbi wa Wisserterasse kuanzia saa mbili usiku,bendi hiyo iliyojijengea umaarufu katika kila kona kwa tabia zake za kuwadatisha akili washabiki wake katika majukwaa ya kimataifa kwa kutumia mdundo wake "Extraordinary Bongo Dansi" ndio bendi pekee ya kigeni barani ulaya inayodumu katika tasnia ya muziki kwa muda mrefu barani ulaya tangu kuanzishwa kwake mwaka 1993 na kiongozi wake mwanamuziki Kamanda Ras Makunja wa himaya yake ya viumbe wa ajabu "Anunnaki Aliens" usikose kuwasikiliza at www.ngoma-africa.com au wape hai at www.facebook.com/ngomaafricaband.

Thursday, August 17, 2017

Video: Rafiki Bonus ya SportPesa

Vijana mkwanja huu upo katika nguvu yako ya kualika watu, buku mbili kwa kila mtu utakayemualika kuweka ubashiri na SportPesa. Andika msg isemayo GAME kwenda 15888 ili kujisajili. Fuata hatua utakazopewa kwenye ujumbe ufuatao, kisha weka ubashiri, hapo utakuwa an active player. Halafu sasa mwambie rafiki yako na yeye ajiunge, ila akiwa anatuma neno Kubali, mwambie aweke namba yako ya simu mbele ya hilo neno kubali. Na yeye akishaweza ubashiri wake, basi buku mbili itaingia kwenye account yako ya SportPesa. 


Nenda www.sportpesa.co.tz kujua zaidiCheers,

Mamatembo

Saturday, August 5, 2017

Sol Campbell of Arsenal with fans

I don't quite understand football as well as I should but I love seeing die hard fans being embrassed by their hero.