R.I.P KANUMBA

Kuna siku unasikia habari afu unashindwa kuelewa ni nini kinatokea dunia hii...watu wadogo wanahaga dunia, inasikitisha sana. Yani kuona status za watu on BBM usingizi wote uliniisha. Hii inasikitisha. R.I.P Steven Charles Kanumba.

Comments