Cheka unenepe

Jamaa kaingia bar kwa fujo!
JAMAA:Lete bia hapa na kila mtu humu
ndan mpe bia yake, maana nikinywa bia
nataka kila mtu anywe bia.
Watu:haaaa!
Wakapewa bia.
JAMAA:Lete mchemsho hapa na kila mtu
mpe mchemsho wake maana nikila
mchemsho na kila mtu nataka ale mchemsho.
Watu:weweee!
Makofi kwa jamaa!
Mhudumu akawapa.
JAMAA:Lete bili hapa na kila mtu mpe
bili yake mana ninapolipa bili nataka
nione kila mtu analipa bili yake.
Watu vilio na mayowe. chezea ofa wewe.

Comments