Kwa wale mliokosa kufika kwenye show ya dawa mpya za nywele kwaajili ya nywele natural (Curls and Natural) na nywele za dawa (Strong ends), hiki ndicho kilichoendelea kwenye show hiyo iliyofanyika siku ya Jumatatu tarehe 18 Julai 2016 ndani ya Landmark Hotel Ubungo.
Wadau wa saluni walijitokeza kwa wingi na walijifunza mambo mengi ikiwemo pamoja na jinsi ya kuweka dawa, vifaa vya kutumia wakati wa kuweka dawa, kuosha nywele za mteja, bidhaa za kutumia ili kuondoa kemikali ya dawa kwenye nywele nakadhalika.
Tazama picha za warembo kabla hawajawekwa dawa / kutengeneza nywele natural na baada, uone muonekano wao ulivyovutia.
Kwa bidhaa hizi za nywele fika S.H Amon shop iliyopo karibu yako.
Comments
Post a Comment