Sunday, July 12, 2015

John Magufuli ndiye mgombea Urais 2015 kupitia chama cha Mapinduzi (CCM)

Hongera kwa jirani, hopefully we shall be seeing a new Tanzania during his presidency. Maisha yamekuwa magumu these past 10 years, hopefully all that will change, na kodi zisizokuwa na kichwa wala mkia zitaondolewa ili tupumue.


No comments:

Post a Comment