Sunday, June 30, 2013

www.jhikoman.comMwanamuziki wa Reggae nchini Jhikoman azifungua mtandao wake
www.jhikoman.com mtandao ambao unaweza kusikiliza nyimbo na kusoma
mambo mbali mbali ya Jhikoman and Afrikabisa band.
Wadau msikose kumpa shavu mtoto wenu Jhikoman Manyika at www.jhikoman.com au http://www.jhikoman.com