WATOTO WA KISHUA SECONDARY SCHOOL
S.L.P 7677, MASAKI.
S.L.P 7677, MASAKI.
MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA.
MAELEKEZO.
i. Jibu maswali yote.
ii. Kila swali linabeba maksi kumi
iii. Zingatia mpangilio wa kazi.
iv. Unaruhusiwa kutumia BLOGS na MAGAZETI YA UDAKU
iv. SWALI LA TISA NI LAZIMA KUJIBU.
MUDA; Masaa matatu.
SECTION A.
1. Kwa kutumia mifano hai, elezea chanzo cha Kim Kadarshian kugombana na Kanye west.
2. Taja tofauti kuu nne kati ya MLIMANI CITY na QUALITY CENTER.
3. Kwa kutumia maeneo ya samakisamaki, Coco beach, Steers, na Kunduchi beach resort elezea maana ya neno BATA.
4. Mapenzi hujengwa kati ya msichana na mvulana. Je Vipini masikioni,
Kuvaa mlegezo, mwanaume kusuka na kujipaka carolight vinachangia vipi
kufanya penzi lichanue? Fafanua!! Tumia mifano hai ya maboyfriend wa
watoto wa kishua
5. Kwa kutumia tamthilia za MARA CLARA na zile nyingine za PROMISE na TIMELESS elezea nafasi ya mwanamke katika jamii.
SECTION B
6. Elezea sababu kuu tano za WEMA na Diamond kugombana!! Na kisha
elezea mapinduzi yaliyofanywa na Jokate Mwegelo. Na je kwa nini
hawakudumu
7. Inasemekana kuwa Chipsi mayai ni mojawapo ya chakula
kinachowachanganya wasichana wengi na mwisho kujikuta wametoa penzi. Kwa
kutumia maeneo ya Masaki na Mikocheni elezea Baga na Pizza
zinavyosababisha tatizo hili.
8. Kwa kuwatumia wasanii wa Bongofleva kama Diamond na wa mtoni kama Chriss Brown elezea maana ya neno SWAGA.
9. Watoto wengi wa kishua hukimbilia kutafuta mademu wa uswazi
wakidai kuwa wasichana wa geti kali hawajui lolote kitandani. Elezea
kiufasaha ukitumia mifano hai kwanini wasichana wa kishua ni bomu
kitandani.
10. Kwa kutumia mifano hai ya PLAYSTATION elezea ni ipi ngumu sana kucheza kati ya PS 2 na PS 3…..
NAWATAKIA MTIHANI MWEMA!!