Waziri wa ufugaji alitembelea mradi wa nyuki! alipofika
getini mlinzi akamwambia hatumruhusu mtu kuingia kwa sasa! waziri kwa hasira
akamjibu kwani hujui mimi nani? huku akimwonesha mlinzi kitambulisho!
mlinzi kwa utii akamwambia haya ingia mheshimiwa! baada ya muda mfupi
yule waziri akaanza kupiga kelele huku akisema mlinzi njoo nyuki hawa
wananimalizaaa!! mlinzi akamjibu waoneshe kitambulisho!
Comments
Post a Comment