Kwakweli
mziki wa Africa ni mtamu. Sijajuwa kama ndio mziki aliokuwa akicheza
MFALME DAUDI hadi nguo zikatoka au la!. (Biblia haijasema. lol ) Ila
tazama ndugu zetu walioko Nje walivyo Miss mziki wa Nyumbani...
Wanaposifu kinyumbani, basi wanaamua kumsifu Mungu bila Kikomo... Karibu
nawewe umsifu Mungu Pamoja Nasi. Ilivyo kuwa katika International
Gospel Music Festival.
Comments
Post a Comment