JOKE

Jamaa kaingia Bar;


jamaa: "Mhudumu, nipe kinywaji na
mpe kila mtu humu ndani kinywaji,
maana wakati napata kinywaji lazima
kila mtu apate kinywaji."

Haraka sana
muhudumu akagawa vinywaji,

Jamaa: "Muhudumu nipe supu na kila
mtu humu ndani mpe supu maana
ninapokunywa supu kila mtu lazima
anywe supu."

Watu wakapewa supu
tena safari hii wakapiga makofi.

Jamaa: "Muhudumu nipe bili, na kila mtu
humu ndani mpe bili maana wakati
nalipa bili yangu kila mtu lazima alipe
yake."

Zogo lilianzia hapo sasa!

Comments