TUSAIDIANE WAKATI BADO TUPO HAI, AU SIO?

Nimeona hii picha kwenye blogs mbalimbali na facebook pia, imenigusa!! It wont hurt to share this info with others. Hata Tsh.500 itasaidia. Bora kuokoa uhai kuliko kutoa mahela mengi wakati wa msiba kama ilivyo desturi yetu wanadamu. kwenye picha kuna information za bank account na Mpesa no, ambazo zinasimamiwa na mke wake. Tutoe kwa Moyo wote jameni.


Comments