MSG from AJ


Zaburi 23

BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu na kuniongoza, Katika njia za haki kwa ajili ya Jina lake. NAAM, nijapopita kati ya BONDE LA UVULI MAUTI, SITAOGOPA MABAYA!!! KWA MAANA WEWE UPO PAMOJA NAMI, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji, Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa WATESI wangu.  Umenipaka mafuta kichwani pangu, na kikombe changu KINAFURIKA!!!                        Hakika Wema na Fadhili zitanifuata siku zote za maisha yangu; NAMI NITAKAA NYUMBANI MWA BWANA MILELE, AMEN.

Sema hiyo Zaburi in your heart. Inafariji sana, I don't fear anything because I know I have a rich Father, who's always on my side. I smile through every tear because in God I find strength, courage, happiness and peace. Most important of all, I'm thankful for all my unanswered prayers, I know God has better plans for me! When I think I know better n ask Him for it, He gives me BEST! At that exact time when I really need IT!! Ooooh I serve a Wonderful God! He has never failed me or abandoned me, and for that I will forever praise his Mighty Name! Glory be to You, Lord Jesus Christ.

By AJ Jonathan

Comments