Friday, August 12, 2016

Mtanzania aliyewakilisha Tanzania kwenye Olympics
Hilal Hemed Hilal alishiriki kwenye mashindano hayo siku ya jana tarehe 11 mwezi wa nane 2016, kwenye kitengo cha kuogelea mita 50 cha wanaume na kumaliza shindano mapema kuzidi washindani wenzake hivyo kuchukua nafasi ya kwanza.

Hongera sana Hilal Hemed Hilal kwa kuiwakilisha Tanzania vyema.

No comments:

Post a Comment