Monday, August 15, 2016

Mswidish - Mtanzania mwenye ndoto za kuondokana na mazingira machafu Tanzania


Erica Sandberg ni Mswidish Mtanzania mwenye ndoto za kuhamasisha watanzania kutumia begi zisizo za plastiki wakati wa kufanya wanunuzi ili kuondokana na mazingira machafu yanayo sababishwa na utupaji ovyo wa mifuko ya plastiki. Kampuni yake ya mifuko hiyo ameipa jina la DUNIANI jina la kiswahili. Hongera sana kwa kazi yako, tunasubiri uje Tanzania tuanze kutumia mifuko hiyo.

follow her on facebook by checking out this link

No comments:

Post a Comment