Friday, October 3, 2014

Bike ride

Usafiri wangu huku ni baiskeli...no hustle ya mafuta ofcourse...inaamisha siku za mvua na jua kali natulia. 2nd best option ni kutembea na mwamvuli kila siku. YaY.  Yani hili tizi lote na bado sipungui..khaa.

No comments:

Post a Comment