Wednesday, August 20, 2014

Word of the Day


UJUMBE WA LEO RAFIKI ZANGU!! KUMCHA MUNGU NI KUUKATAA UOVU, MCHE BWANA NA UTAUONA UKUU WAKE KATIKA MAISHA YAKO, JICHO LA BWANA HUPIMA UAMINIFU WA MJA WAKE PALE AMBAPO ANAKUWA PEKE YAKE NA HAKUNA MTU WA KUMUONA ANACHOKIFANYA, ILA NDANI YA MOYO WAKE ANAAMINI JICHO LA BWANA LINAMTAZAMA NA KUMHESHIMU MUNGU KWA KUJITENGA NA UOVU, KUMBUKENI SIKU YA BWANA NENO LINASEMA ATALETA KATIKA HUKUMU KILA JAMBO ALILOLIFANYA MWANADAMU HAPA DUNIANI "HATA LILE LA SIRINI KABISA", NA KUMBUKENNI HAKUNA MWENYE DOA WALA KUNYANZI ATAKAYE URITHI UFALME WA MBINGUNI, SISI NI WANADAMU NA TUNAWEZA FANYA MAKOSA, TU WADHAIFU, ILA KILE MUNGU ANACHOKITAKA NI KUTUBU MARA MOJA PALE TUNAPOKOSEA NDIPO DAMU YAKE INATUTAKASA KWA KUPITIA ILE TOBA YA KWELI!! USIFICHE DHAMBI/KOSA MAANA ITAKUUA... MAY GOD BLESS HIS WORDS!!

author, Emanuel Golder 

No comments:

Post a Comment