Wednesday, July 10, 2013

Mwanamuziki Jhikoma na Afrikabisa BandAliitingisha katika Maonyesho ya ZIFF ! ZANZIBAR






Ilikuwa Tarehe 7 Julai 2013 (SABASABA) Mwanamuziki Jhikoman alipewa heshima ya pekee
kufungua Tamasha la Kimataifa ZIFF! Zanzibar,
Mwanamuziki Jhikoman na Afrikabisa band yenye maskani kule Bagamoyo almaarufu mjini B.O,
mwishoni mwa mwezi huu wa Julia watafanya maonyesho mjini Iringa,
Kwa hiyo wadau wa Iringa kaeni mkao kula.
unaweza kupata mengi zaidi kuhusu Jhikoman & Afrikabisa Band at 
www.jhikoman.com au http://www.jhikoman.com