Mstaiki meya wa jiji la Mwanza Mhe.Stanslaus Mabula na
ujumbe wa kamati yake ya fedha wametembelea halmashauri ya manispaa ya Ilala
kwa maagizo ya Mhe.Waziri Mkuu kuja kujionea mbinu za kisasa za kukusanya
mapato.
Mstaiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mhe Jerry
Silaa amewakaribisha na kuwaeleza jinsi walivyoweza na wanavyoendelea kukusanya
mapato.
Jiji la Mwanza na
Manispaa ya Ilala zinaanzisha Udada.
Comments
Post a Comment