I got this msg as a BBM broadcast msg, had to share with y'all. I like it.
Sio kila Relationship imeandikwa ifikie ndoa,zingine Mungu anakupitisha kama Tuition tu ili ije kukusaidia kwenye NECTA ya maisha yako ukifikia destiny...mnadhani kuoa ni tendo la ghafla tu kama mgao wa umeme Sinza,Ndoa sio kama vinyweleo kila mtu anavyo!
Ingia kwenye Mapenzi with less expectations, itakusaidia,sio kila Mwanaume anayekuja kwako we unawaza pete tu pete tu,wengine wanaletwa na Mungu kukufunza mambo flani,learn through the process, ukiingia ndoa bila Material ya kutosha ndo hizi ndoa za Crush Programme hazivuki hata Probation ya 6months watu chali...Too much expectations will give you Surprises!
U cnt tell Osama kuimba Gospel na Bonny Mwaitege utaumia!Victory loves Preparation,Are you really prepared for Marriage OR ur just excited with the Wedding Ceremony?
source: annonymous
Comments
Post a Comment