Yahaya kapata trip ya kikazi kwenda dodoma, kufika kamtafuta mmoja wa mademu wake wa Udom ili apate pa kupumlia, na malazi asave. Siku ya kuondoka akamuomba demu "amuazime" laki tatu cos ATM yake inazingua, akampa demu ATM na PIN akamwambia aitumie apendavyo apendeze. Kumbe ina buku tano tu! Msela kabla hajashtukiwa akakwea bus kurudi dar, njiani simu ikaisha charge ikazima, kafika home kaweka kwenye chaja kalala! Kuamka asubuhi anakuta msg ya jana toka kwa bosi "nimeweka Million 5, kwenye account yako usirudi kwanza ulipe mafundi"
Comments
Post a Comment