Jokes

Wakati benki ya XYZ inavamiwa, nikapiga 112 nikajibiwa KARIBU JESHI LA POLISI KITENGO CHA DHARULA, for kiswahili press 1 for english press 2, nikabonyeza 1, sauti ikasema kwa ajali ya barabarani au moto bonyeza 1 kwa ujambazi bonyeza 2, nikabonyeza 2, sauti ikasema: kama majambazi wana rungu, panga na visu bonyeza 1, pisto 2, SMG 3, AK 47 bonyeza 4, bomu 5 kama wanavyo vyote bonyeza 6, nikabonyeza 6. Sauti ikasema mmh! Ndugu yangu ungekuwa wewe ni polisi ungeenda kweli?

Comments