FELIS MWAMBALO - making the video


Fun time with great friend during shooting of the Music videos for Jipe Moyo album.

Tunashukuru Mungu kwa kutupa nafasi yakufanya Video shooting ya Jipe Moyo. Imekuwa Nzuri sana. Nimesindikizwa na marafiki zangu Mr&Mrs Emmauel and Hono MosFay Destinyand Angela Mate Thank and you so much you guys.


Bila Kusahau my video producer Alex Joseck wa Kingdom.


Media, na Mke wake Mary Alex God bless you big time.

Kwa wote mnao angalia picha, mnaweza kupata wazo namna gani Video zitakavyo kuwa. Kaa tayari... :)

Thank you God for this step, We believe and trust you for the rest of this project.












Comments