Wednesday, October 5, 2016

MINIBUZZ TV SHOW: Je biashara ni elimu ama kipaji?


                                                                                                              Me naona ni vyote viwili. Elimu sio lazma ya darasani, ilimradi tu mtu awe tayari kujifunza kitu kipya na jinsi ya kukuza biashara yake. So elimu, practice -practice - practice, na kipaji vinaleta ufanisi katika biashara.

No comments:

Post a Comment