Friday, December 4, 2015

LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI

Nimepokea ujumbe huu kwenye group la Whatsapp nililopo na nimeona ni - share na wasomaji wa blog yangu, kijana fursa hizo hapo.

LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI

1. Kununua Mashine za kukoroga zege na
kukodisha.

2. Kununua Mashine za kukata vyuma na
kuzikodisha.

3. Kutengeneza na kuuza tofali

4. Ufundi, Website updating/Database: Katika
Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.

5. ** Kuanzisha kituo cha redio na televisheni

6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano.

7. ** Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k

8. Kushona na kuuza nguo.

9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit,
socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali.

10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine.

11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo.

12. ** Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu.

13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza
popcorn na kuziuza.

14. Kusajili namba za simu na kuuza vocha

15. Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta na zinazotumia mafuta

16. ** Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika.

17. Kuuza Mitumba

18. ** Kusimamia miradi mbalimbali

19. Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali.

20. Kufungua banda la chakula na chips

21. Kukodisha turubai viti na meza

22. Kufungua Supermarket

23. Kufungua Saluni

24. Kufungua Bucha

25. Video Shooting & Editing.

26. ** Kufungua Internet cafe

27. Duka la kuuza matunda

28. Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za
mkononi na landline.

29. Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement,
vifaa vya umeme, duka la mabati
30. Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba na miradi ya ICT.

31. Kuchapa vitabu, bronchures, n.k

32. Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Building
contractor).

33. Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya jua
(solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vya
solar n.k

34. ** Kuuza maji kwa jumla na rejaleja.

35. Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora.

36. Kukodisha Music

37. Kuanzisha Mradi wa Taxi

38. ** Kuanzisha mradi wa Daladala

39. Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops, converters, HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa vingine.

40. ** Kununua magenerator na kukodisha.

41. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu.

42. ** Kufungua kampuni ya kutoa huduma za
internet (ISP)

43. Kuuza mabati na vigae.

44. Kujenga apartments

45. ** Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au
mafuta ya aina zote.

46. Kufungua Duka la samaki.

47. Kufungua Duka la nafaka.

48. ** · Kufungua Shule za Awali, Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo.

49. Kujenga hostel.

50. Kuuza vocha na ving’amuzi vya DStv, Zuku,
Startimes, Easy TV, TNG, Digitech, Continental.

51. ** · Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na kuuza katika viwanda na wananchi.

52. Ufundi simu.

53. Kufungua Hospitali, Zahanati.

54. Maabara ya Macho, Meno.

55. ** Kuchimba/Kuuza Madini

56. ** Kufungua ofisi ya kutoa huduma ya simu na fax.

57. Kuuza miti na mbao

58. Kufungua Grocery, bar.

59. Kufungua studio ya kupiga na kusafisha picha.

60. ** Kucharge simu/battery

61. Duka la TV na vifaa vingine

62. Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika
sherehe na tamasha mbalimbali (catering).

63. ** Banda la kupigisha simu

64. Kuuza na kushona Uniform za shule.

65. Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla.

66. Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki na magari.

67. Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe.

68. Kuuza fanicha.

69. Kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairi ya magari na mitambo.

70. Kujenga nyumba za kulala wageni (hotel)

71. Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium.

72. Kuuza vioo

73. Kushona na kukodisha nguo za harusi

74. ** Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari

75. Kuuza mashine za kuchomelea (welding
machine).

76. Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets etc)

77. ** Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirisha
wanafunzi

78. Kufungua studio ya kutengeneza vipindi vya
redio na televisheni

79. ** Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni
(TV Games)

80. ** Kufungua benki

81. Kuwa na malori ya kubeba kokoto na mchanga

82. Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera, n.k

83. Kuwa dalali wa vitu mbalimbali

84. Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na
winchi (crane)

85. Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu.

86. ** Kuanzisha viwanda mbalimbali

87. Duka la vifaa vya simu na gadgets mbalimbali zinazoendana na mawasiliano ya Vodacom, TTCL, AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k.

88. ** Kujenga Ukumbi wa kukodisha kwa sherehe, mikutano mbalimbali

89. Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wa
barabara na kukodisha

90. Kutengeneza antenna na kuuza

91. Kufungua mradi wa Machine za kusafisha,
kutoboa na kuchana mbao

92. ** Kufungua mradi wa kuuza vifaa vya Umeme wa kutumia upepo

93. Biashara ya kuagiza magari

94. Kufanya biashara za Jukebox

95. ** Kukodisha matenki ya maji**

96. Kufungua duka la kuuza Asali

97. Kutengeneza Mikokoteni/ matoroli na
kuikodisha

98. Kufungua Duka la vinyago, batiki

99. Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZY PESA

100. ** Kuanzisha sehemu ya kufanyia mazoezi
(Gym).

101. Kununua na kuuza vifaa vya kupima ardhi.

102. Kufungua duka la kuuza dawa (pharmacy).

103. Kufungua Kampuni ya Ulinzi

104. Kufungua kampuni ya "Clearing and
fowarding"

105. Kuchezesha vikaragosi

106. Kuuza spea za bajaji, magari na pikipiki

107. Kuuza baiskeli

108. Kuuza magodoro

109. Kuuza vyombo mbalimbali kwa ajili ya
matumizi ya nyumbani mfano bakuli, sahani, vikombe, vijiko,

110. Kuuza marumaru (limestones)

111. Kuuza kokoto

112. Kuuza mchanga

113. Kufundisha Tuisheni

114. Biashara za bima

115. ** Kampuni ya kusafirisha abiria kwa njia
ya anga (ndege)

116. Biashara za kitalii

117. Biashara za meli na maboti.

118. ** Kampuni ya kuchimba visima

119. Kufungua ofisi ya wakili/mawakili wa
kujitegemea

120. Kuuza mkaa

121. Kutengeneza mashine za kutengeneza tofali

122. ** Kampuni ya kupima ardhi

123. Kampuni ya magazeti

124. Kuchapa (printing) magazeti

125. Kuuza magazeti

126. ** Kuchimba mafuta

127. Kiwanda cha kutengeneza mabati

128. Kiwanda cha kutengeneza fanicha

129. Kiwanda cha kutengeneza matairi

130. Kutengeneza vitanda vya chuma

131. ** Kununua nyumba katika Maghorofa
(Apartments) na kuzikodisha.

132. Kukodisha makapeti

133. Kupamba maharusi na kumbi za harusi/
sherehe.

134. Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka.

135. Kazi ya ususi na kusafisha kucha.

136. Kuuza Gypsum

137. Malori ya kubeba mafuta na Mizigo

138. Duka la kuuza mboga za majani

139. Duka la kuuza maua.

140. Kampuni ya kuzoa takataka

141. Kampuni ya kuuza magari

142. ** Kuuza viwanja

143. Uvuvi

144. Kutengeneza na kuuza nguzo za kujengea
fensi

145. Uchoraji wa mabango.

146. Duka la kuuza silaha

147. Ukumbi wa kuonesha mpira

148. Biashara ya mlm (network marketing)

149. ** Yadi kwa ajili ya kupaki magari

150. Mradi wa trekta za kukodisha kwa ajili ya
kilimo. 

151. kutengeneza sabuni za kunawia mikono na kuziuza.

152. kutengeneza dawa za kusafishia vyoo, mabafu na kuziuza.

153. kuanzisha kampuni za usafi na kutafuta tenda ktk taasisi mbalimbali

154. kuanzisha botanical garden na kufungua duka la chemikali na kusaka tenda mashuleni na vyuo

154. n.k,...

KAMA YOTE HAYA UMESHINDWA KUPATA LA
KUFANYA, WEWE UTAKUWA USHAPOTEA,
ENDELEA NA UTARATIBU WAKO WA KUILAUMU SERIKALI.

No comments:

Post a Comment