Thursday, September 10, 2015

NGOMA AFRICA BAND KUVAMIA MARBELLA - SPAIN JUMAMOSI 12 SEPT 2015

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU- Ughaibuni inatategemewa kufanya onyesho maalumu katika Grande VIPsiku ya jumamosi 12 Septemba 2015,kule katika kisiwa cha mabwanyenye Marbella,kilichopo Spain. bendi hiyo imealikwa na VIP Yatch Club ya Marbella.
Usikose kuungana nao at www.facebook.com/ngomaafricaband

No comments:

Post a Comment