Meghan Trainor - All About That Bass (MUSIC VIDEO)



Nimeupenda huu wimbo. Najua watu wengi wameupenda huu wimbo, na huyu binti amepata media buzz ya ghafla, which means watajitokeza watu watakaomsifia na wengine watamponda. Cha msingi ni ujumbe uliopo kwenye huu wimbo, me likey.

Comments