Thursday, February 2, 2017

Kenyan Jokes be like

0. Una sura ngumu mpaka nikikupga picha inajisave kwenye tools

1.Wewe ni mweusi hadi ukibeba mtoto anasinzia anajua giza limeingia!

2. Kwenu mpo wengi mpaka mtoto wa mwisho anaitwa etc.

3. Dingi ako kazoea ku endesha baiskel hata akipanda gari anakunja surual.

4.kwenu muko wengi mpaka babako akiingia anasema hamjambo wananchi...

5.Una macho mekundu, ukiangalia maindi yanaiva... -Maindi mchomo-

No comments:

Post a Comment