Sunday, November 27, 2016

Vote Vote Vote

Zimebaki siku chache zoezi la upigaji kura lifungwe, nakuomba sana sapoti yako unipigie kura. Andika  (B1 Kwenda 15777) kwa sms tsh. 250 tu.
Kwa walio nje ya Tanzania Andika sms neno (B1 kwenda +25574615777) Au kwa kumpiga kwa  kuingia  kwenye link ya
vote.eatv.tv
Au
www.eatv.tv/awards

Utalog in with facebook ni njia rahis zaidi. Anaomba sana sapoti yako, Ahsante #BestActor #EatvAwards2016 @SaidMkukila

No comments:

Post a Comment