Sunday, July 8, 2012

JINA LAKO MILELE - by FELIS MUBIBYA

Kwa wote mliokuwa mkisubiria video ya track mpya ya Felis Mubibya "Jina Lako Milele", anapenda kuwatambulisha mashabiki wake wote popote mlipo duniani kwenye kazi hiyo na Video ndio hiyo hapo chini, Mubarikiwe na hii kazi.


No comments:

Post a Comment